December 25, 2024

Day

Jumuiya ya SUA pamoja na Ndaki ya Misitu, Wanyamapori na Utalii kwa ujumla inapenda kuchukua nafasi hii kumpongeza Prof. Emmanuel Luoga kwa kuteuliwa na Mheshimiwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa sehemu ya Tume ya Raisi ya kutathmini kuhusu Mgogoro wa Ardhi katika Hifadhi ya Ngorongoro.
Read More