Jumuiya ya chuo kikuu cha kilimo cha Sokoine inayo furaha kuwakaribisha watu wote katika Maadhimisho haya ya miaka hamsini katika utoaji wa mafunzo bora ya taaluma ya misitu nchini Tanzania. Tafadhali mkaribishe na mwenzako apate kujumuika nasi katika kuadhimisha tukio hili la kihistoria katika utoaji wa kile kilichobora kwa kizazi cha sasa na baadaye.
“kufungamanisha Taaluma ya Misitu, Sayansi ya Uhifadhi na Sera katika uchumi wa kijani wa Africa”