October 4, 2024

Day

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Malima amewataka Wataalamu wa Misitu kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo kuhimiza utekelezaji wa utunzaji na uendelezaji wa misitu nchini kwa manufaa ya vizazi vya sasa na baadaye. Amebainisha hayo katika siku ya kufunga Maadhimisho ya Miaka 50 ya kuanzishwa kwa Kitivo cha Mafunzo ya Misitu  katika...
Read More
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Adam Malima amewataka Wataalamu wa Misitu kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kuhamasisha utekelezaji wa utunzaji na uendelezaji wa misitu nchini kwa manufaa ya vizazi vya sasa na baadaye. Amebainisha hayo Oktoba 3, 2024 wakati wa kufunga Maadhimisho ya Miaka 50 ya kuanzishwa kwa Kitivo cha Mafunzo ya...
Read More

Global Biodiversity Information Facility