May 29, 2020

Day

To view the second semester teaching timetable for 1st year MSc ENAREC and MSc MNRSA (2019/20), click here (ENAREC). click here (MNRSA).    
Read More
Serikali ya wanafunzi ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo kupitia wizara ya Mikopo, inapenda kuwataarifu wanasuasa kuwa zoezi la kusaini pesa za chakula na malazl robo ya 3 (boom quarter 3) litaanza rasmi tarehe 29.5.2020 slku ya ijumaa mpaka tarehe 31.5.2020 siku ya jumapili kuanzia Saa 3 asubuhi mpaka saa 11 jioni. Hatua hii...
Read More