September 4, 2024

Day

Mkutano wa Kujadili Hali ya Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi Tarehe: 9-10 Septemba 2024 Mahali: Jijini Dodoma, Tanzania Wadau zaidi ya 1000 wanakusanyika kujadili na kuweka mikakati ya kukabiliana na changamoto za uharibifu wa mazingira na mabadiliko ya tabianchi. Viongozi, wataalamu, na wadau kutoka serikalini, sekta binafsi, na taasisi mbalimbali wanashiriki katika mkutano huu. Mkutano...
Read More