Siku hii maalum kwa Ndaki ya Misitu, Wanyamapori na Utalii itaongozwa na Rasi ndaki Prof. Agness Sirima eneo la Bondwa, Kauli mbiu kwa mwaka huu ni ” Ongezeko thamani ya mazao ya Misitu kwa uendelevu wa Rasilimali kwa kizazi hiki na kijacho“Read More