MAADHIMISHO YA 18 YA KUMBUKIZI YA HAYATI EDWARD MORINGE SOKOINE

 

 

Kwa watanzania wote,

Napenda kuwaarifu kuwa,kutakuwa na Maadhimisho ya 18 ya Kumbukizi ya Hayati  Edward Moringe kuanzia tarehe 23 – 26, Mei 2023 katika Kampasi ya  Edward Moringe  kuanzia saa 2:00 Asubuhi. Kauli mbiu katika maadhimisho hayo ni “Mazingira wezeshi ya Ushiriki wa Vijana katika Sekta ya Kilimo: Sera, Miongozo na Utendaji”. 
Pia kutakuwa na;
  • Maonesho ya Teknolojia za Kilimo na Bunifu
  • Kongamano la Kisayansi
  • Mdahalo wa Kitaifa
  • Huduma za Hospitali ya Rufaa ya wanyama
  • Huduma za Hospitali
  • Kuchangia damu
  • Mahafali ya 41
  • Kongamano la wadau wa Viwanda
  • Michezo mbalimbali
Aidha pokeeni kiambatisho chenye taarifa ya Maadhisho hayo.

Related Posts