Kwa watanzania wote, Napenda kuwaarifu kuwa,kutakuwa na Maadhimisho ya 18 ya Kumbukizi ya Hayati Edward Moringe kuanzia tarehe 23 – 26, Mei 2023 katika Kampasi ya Edward Moringe kuanzia saa 2:00 Asubuhi. Kauli mbiu katika maadhimisho hayo ni “Mazingira wezeshi ya Ushiriki wa Vijana katika Sekta ya Kilimo: Sera, Miongozo na Utendaji”. Pia kutakuwa […]