Serikali ya wanafunzi ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo kupitia wizara ya Mikopo, inapenda kuwataarifu wanasuasa kuwa zoezi la kusaini pesa za chakula na malazl robo ya 3 (boom quarter 3) litaanza rasmi tarehe 29.5.2020 slku ya ijumaa mpaka tarehe 31.5.2020 siku ya jumapili kuanzia Saa 3 asubuhi mpaka saa 11 jioni. Hatua hii […]