Mkutano Maalum wa Viongozi, Wataalam na Wadau kuhusu Hali ya Mazingira Nchini

Mkutano wa Kujadili Hali ya Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi

  • Tarehe: 9-10 Septemba 2024
  • Mahali: Jijini Dodoma, Tanzania
  • Wadau zaidi ya 1000 wanakusanyika kujadili na kuweka mikakati ya kukabiliana na changamoto za uharibifu wa mazingira na mabadiliko ya tabianchi.
  • Viongozi, wataalamu, na wadau kutoka serikalini, sekta binafsi, na taasisi mbalimbali wanashiriki katika mkutano huu.

Mkutano huu unalenga kuimarisha uwajibikaji, ufanisi, na usimamizi wa hifadhi ya mazingira na kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Ni fursa nzuri ya kujadili njia za kuhifadhi mazingira yetu na kuhakikisha ustawi wa jamii na uchumi wetu.

Related Posts